Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Jakaya Mrisho Kikwete Foundation - Kijana Leo Episode 001 в хорошем качестве

Jakaya Mrisho Kikwete Foundation - Kijana Leo Episode 001 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Jakaya Mrisho Kikwete Foundation - Kijana Leo Episode 001

Kila tarehe 11 mwezi February, ni siku maalumu ya maadhimisho ya Siku Ya kimataifa ya wanawake na wasichana katika sayansi. Siku hii iliidhinishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 2012 kwa madhumuni ya kuitambua nafasi ya wanawake na wasichana katika sayansi sio kama wanufaika tu, bali kama waleta mabadiliko ya kisayansi. Maadhimisho haya yanatimiza miaka saba mwaka huu, na kupitia kipindi hiki cha KIJANA LEO, nasi tunaungana na dunia nzima katika kuonyesha jitihada zinazofanywa na msichana Diana Orembe kwenye nyanja ya sayansi katika kuleta mabadiliko na kujitengenezea fursa za kimaendeleo.

Comments