Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) - Kijana Leo Episode 012 в хорошем качестве

Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) - Kijana Leo Episode 012 6 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Jakaya Mrisho Kikwete Foundation (JMKF) - Kijana Leo Episode 012

Je! Ulijua kwamba Cocoa ililetwa Tanzania kwenye miaka ya 1950 - 1960? Tangu wakati huo, Cocoa imekuwa zao muhimu la biashara kwa maelfu ya wakulima na familia zao, ikisaidia maisha na jamii kwa ujumla. Leo, Tanzania inatengeneza takribani tani 17,000 mpaka 20,000 za Cocoa kila mwaka na takribani asilimia 80 ya Cocoa ya Tanzania inalimwa katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya, ambapo eneo na hali ya hewa ni bora kwa kilimo cha Cocoa. Licha ya mchango mkubwa wa Cocoa kwenye uchumi na jamii, kuna pengo kubwa katika mnyororo wa thamani wa Cocoa nchini Tanzania maana Sio chini ya asilimia 4 tu hubaki nchini na nyingine huuzwa kwenye soko la nje. Kutana na livyafrica! kampuni ya familia ya kijamii inayoongeza thamani zao la Cocoa kwa kutengeneza bidhaa tofauti kutoka Mbeya Tanzania kama Mababu chocolate.

Comments