Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Jakaya Mrisho Kikwete Foundation - Kijana Leo Episode 002 в хорошем качестве

Jakaya Mrisho Kikwete Foundation - Kijana Leo Episode 002 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Jakaya Mrisho Kikwete Foundation - Kijana Leo Episode 002

Siku ya Wanawake duniani ni tukio la kila mwaka linalotambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN). Siku ya Wanawake imekuwa siku ya kusherehekea mafanikio ya wanawake katika jamii, siasa na uchumi. Kwa mwaka huu 2022 Umoja wa Mataifa ulitangaza kauli mbiu kuwa ni "usawa wa kijinsia leo, kesho na endelevu" ambayo inawahitaji watu kufikiria "ulimwengu usio na upendeleo, fikira, na ubaguzi". Maadhimisho haya yanatimiza Zaidi ya miaka 100, na kupitia kipindi hiki cha KIJANA LEO, nasi tunaungana na dunia nzima katika kuonyesha jitihada zinazofanywa na kijana wa kike Jacqueline Lawrence anayevunja mipaka kwenye nyanja ya ujasiriamali katika kuleta mabadiliko na kujitengenezea fursa za kimaendeleo kupitia ujasiriamali wa Habari.

Comments