Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Miriam Lukindo - Higher ( Official Music Video ) в хорошем качестве

Miriam Lukindo - Higher ( Official Music Video ) 4 дня назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Miriam Lukindo - Higher ( Official Music Video )

Wimbo huu wa HIGHER Ulianza hivi Kitabu cha Zaburi 29:10 Inasema’ BWANA AMEKETI JUU . Lakini pia kitabu hicho hicho cha Zaburi 93:4 Inasema ‘ KUPITA SAUTI YA MAJI, KUPITA MAWIMBI YA BAHARI, BWANA ALIYE JUU NDIYE MWENYE UKUU. Je ni nini kinawezakuwa juu ya Bwana? Je ni maumivu unayo pitia? Je ni hali ngumu ya maisha? Je ni njaa? Je ni uchi? Je ni majibu ya madaktari? Hakuna kinachoweza kukaa juu ya Bwana. Wimbo huu niliupata 2019 kipindi kile dunia yote imekumbwa na sinto fahamu Kwenye janga la cov19 Nilipokuwa nikitafakari na kuona jinsi alivyo mkuu, alivyo tutetea kwanamna ya ajabu, kwakweli Nina haki ya kumwinua juu. Nikuombe utumie wimbo huu wa HIGHER kumtukuza Mungu hata pale unapoona giza nene, wewe utazame uzuri wa Jina lake Bwana. Yeye amejiweka juu ya vyote Utukufu wake na ukuu wake unapota vyote Anastaili kupewa sifa , hatapale ambapo huoni kuwezek

Comments