Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786# в хорошем качестве

Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786# 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Rehema Simfukwe - Chanzo (Official Music Video) SKIZA CODE - *812*786#

Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yo yote, na katika mambo yo yote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.Wafilipi 4:12 Nilipita kwenye nyakati za furaha, nilipita kwenye nyakati za kupendwa, kufanikiwa, kuwa na vingi ila kuna nyakati nilipita kwenye nyakati za giza nene. Nyakati za kukataliwa, kukosa, lakini katika kila HALI Mungu alinifundisha kuwa yeye bado atabaki kuwa ni MUNGU tena ndio CHANZO cha UHAI wangu na atabaki kuwa Mungu wa kuabudiwa. Ni maombi yangu Mungu akamrudishe kila mmoja wetu kwenye kiini/CHANZO halisi cha UHAI wetu hata kama tutapitia nyakati ngumu kiasi gani ila tubaki kumpenda,kumuishia na kumuabudu daima maana yeye ni Mungu wa nyakati zote. Live recorded at: Shillo Studios Audio captured by: S&M Entertainment Mixed/Mastered by : Samuel Video captured by : Upendo Media Video Edited by: Fredrick Stephano Video Directed by : Huruma Charles Music Directed by; Samuel Yonah Musicians & Vocals: Channel Administered by Huru Digital Instagram:   / hurudigital   #RehemaSimfukwe#Chanzo#GospelVideo

Comments