Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MAPYA YAIBUKA NABII KIBOKO YA UCHAWI, YASEMEKANA AME.... в хорошем качестве

MAPYA YAIBUKA NABII KIBOKO YA UCHAWI, YASEMEKANA AME.... 2 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MAPYA YAIBUKA NABII KIBOKO YA UCHAWI, YASEMEKANA AME....

Baraza la Mitume na Manabii Tanzania (Bacct) limesema halimtambui Mchungaji, Dominique Dibwe maarufu Nabii Kiboko ya Wachawi na kueleza kuwa si mwanachama wao. Pia limesema walipojaribu kumtafuta kwa simu baada ya taarifa za kanisa lake la Christian Life kufungwa na Serikali, waliambiwa na watu wake wa karibu kuwa amekwishaondoka nchini. Kiboko ya wachawi ambaye ni Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, alikuwa akiendesha huduma zake Buza Kwalulenga Mtaa wa Kidagaa, kabla ya taarifa ya kufungiwa kwa kanisa lake kutolewa Julai 25, mwaka huu. Barua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia, ilimuelekeza Mwenyekiti wa Kanisa hilo na Mchungaji Dominique Kashoix Dibwe kufunga tawi la kanisa hilo. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya kudaiwa kufanya vitendo ambavyo ni kinyume cha matakwa ya kifungu cha 17 cha Sheria ya Jumuiya, Sura ya 337 kama ilivyofanyiwa marekebisho na Sheria ya Mabadiliko ya Sheria Mbalimbali Namba 3 ya Mmwaka 2019. Vitendo hivyo vimesababisha kanisa hilo kufutiwa usajili wake na kuondolewa kwenye rejista ya jumuiya za kiraia zilizosajiliwa. Endelea kufuatilia Mwananchi.

Comments