Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб KAKA MSOMALI - KUPENDA SANA NI HARAMU в хорошем качестве

KAKA MSOMALI - KUPENDA SANA NI HARAMU 6 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



KAKA MSOMALI - KUPENDA SANA NI HARAMU

mwaka juzi hapa 2022, zilitoka nafasi za kwenda kwenye kambi moja ya wakimbizi uko Kigoma kwaajili ya kuwashawishi wakimbizi warudi makwao. Nafasi zilikua chache alafu ziligombaniwa kweli maana mshahara wake ulikua sio wa kitoto. Baby wangu Calvin🥰 akanipigania na mimi nikawa nimepata iyoo nafasi. Siku ilipofika tuliondoka kwenda Kigoma, nakumbuka ilikua ni mwezi wa Tatu, na kule tulitakiwa kukaa mwezi tu. Hao mpaka Kigoma, tulifika salama salmini! Tulipokelewa vizuri, tukapewa msosi pamoja na malazi!Baada ya kupumzika, kesho yake ndo kazi iliyo tupeleka kule ikaanza. Sikujua kama huku ntakutana na mkaka msomali ambaye aniliingiza kwenye matatizo ya mapenzi. #simulizi #lucas #lumbasi

Comments