Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady в хорошем качестве

Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady 7 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Hizi Ndizo Sababu za Kifo cha Ivan Done wa Zari the Boss Lady

Usiku wa kuamkia tar 25 ya mwezi Mei mwaka huu 2017 aliyekuwa mzazi mwenza wa Zari the Boss Lady "Ivan Semwanga" maarufu kwa jina la Ivan The Don alifariki dunia katika hospitali ya Steve Biko iliyopo jijini Pretoria nchini Afrika Kusini, alipokuwa akipatiwa matibabu. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Ivan alibahatika kupata watoto 3 kwa Zari na alikua mfanya biashara mkubwa pia aliisaidia sana jamii pale alipota nafasi ya kufanya hivyo, baada ya kifo chake Global TV imeamua kufuatili kwa makini na ku-kuletea sababu zinazodaiwa kuwa chanzo cha kifo hicho, ifuatilie video hii mpaka mwisho kujua yote. Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Katika tuzo ya mfungaji bora, Msuva alifungana na Abdulrahman Mussa wa Ruvu Shooting, wote wakiwa na mabao 14. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1  

Comments