Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Maajabu Ndani ya Kasri la Sultani Sayyid Said (1856–1870) wa Zanzibar! в хорошем качестве

Maajabu Ndani ya Kasri la Sultani Sayyid Said (1856–1870) wa Zanzibar! Трансляция закончилась 7 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Maajabu Ndani ya Kasri la Sultani Sayyid Said (1856–1870) wa Zanzibar!

SUBSCRIBE NOW:    / uwazi1   Zanzibar ilipata uhuru wake tarehe 10 Desemba 1963. Uhuru wa usultani ukadumu muda mdogo tu. Mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964 yakamuondoa Sultani. Mauaji ya familia nyingi zenye asili ya Kiarabu yakafuata. Tarehe 26 Aprili 1964 Zanzibar ikaunganika na Tanganyika kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Global TV Online iko visiwani Zanzibar na imetembelea ndani ya jumba la kifahari (Kasri) iliyoishi familia ya Sulatani Sayyid Said kuanzia mwaka 1856 - 1964 ulipoondolewa utawala wa kisultani visiwani Zanznibar. Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanel yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Comments