Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Makabidhiano ya vyeti vya kukamilisha mafunzo ya uendeshi wa vifaa vya shughuli za operesheni. в хорошем качестве

Makabidhiano ya vyeti vya kukamilisha mafunzo ya uendeshi wa vifaa vya shughuli za operesheni. 5 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Makabidhiano ya vyeti vya kukamilisha mafunzo ya uendeshi wa vifaa vya shughuli za operesheni.

Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Zanzibar amehudhuria makabidhiano ya vyeti vya kukamilisha mafunzo ya uendeshi wa vifaa vya kupakia, kushusha na kupanga Makontena katika bandari ya Malindi (Reach Stacker, Mobile Crane) inayoendeshwa na kampuni ya Zanzibar Multipurpose Terminal (ZMT). Jumla ya wanafunzi 41 wamepata mafunzo hayo, 18 wakiwa waajiriwa wapya na 23 walobaki ni wale waliotoka Shirika la Bandari (ZPC). ZMT wametimiza ahadi yakimkataba ya kuongeza ujuzi Kwa wafanykazi waliopo na kuajiri wafanykazi wapya Ili kuhakikisha wanaongeza ufanisi katika shughuli za Operesheni za Bandari.

Comments