Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Tazama Rais Magufuli 'alivyomjaza fedha' Bibi Havintishi wakati akihutubia в хорошем качестве

Tazama Rais Magufuli 'alivyomjaza fedha' Bibi Havintishi wakati akihutubia 6 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Tazama Rais Magufuli 'alivyomjaza fedha' Bibi Havintishi wakati akihutubia

Mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Havinitoshi amejikuta akimiminiwa ‘noti’ za fedha bila kutarajia baada ya kueleza mbele ya Rais Magufuli kero yake inayohusu manyanyaso wanayopata wafanyabiashara ndogondogo mjini Morogoro. Tukio hilo limetokea wakati Rais Magufuli akihutubia baada ya kuzindua kiwanda cha sigara cha Philip & Morris kilichoko Morogoro. Baada ya kusikiliza kero yake, Rais Magufuli alitoa agizo kwa mamlaka kuwaacha wafanyabiashara hao wafanye biashara zao bila usumbufu. Pia Rais Magufuli aliamua kumchangia mama huyo shilingi laki moja baada ya kueleza kuwa aliwahi kupigwa faini baada ya kukamatwa akifanya biashara katika eneo la stand. Tazama ilivyokuwa.

Comments