Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Muhimbili Yaanza Kutibu INI, KONGOSHO, Bila Upasuaji в хорошем качестве

Muhimbili Yaanza Kutibu INI, KONGOSHO, Bila Upasuaji Трансляция закончилась 6 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Muhimbili Yaanza Kutibu INI, KONGOSHO, Bila Upasuaji

Muhimbili Yaanza Kutibu INI, KONGOSHO, Bila Upasuaji Daktari Bingwa wa Magonjwa ya mfumo wa chakula na ini kutoka hhospitai ya Taifa ya Muhimbili Dkt John Rwegasha, amesema kuwa kwa sasa wanao uwezo wa kufanya matibabu ya Ini bila kuhusisha upasuaji wowote. Akizungumza na waandishi wa Habari, Rwegasha amesema kuwa, kupitia mafunzo mbaimbali waliyopata nchini India miezi kadhaa iliyopita, sasa wamerudi wakiwa wamebobea na utaalamu huo wa kutumia kifaa cha Hadubini katika kuchunguza na kutibu bila kfanya upasuaji wowote. Pia amesema huduma hiyo ni ya kwanza kufanyika Afrika Mashariki ambapo Kenya watafanya mapema mwezi wa nane mwaka huu kwa ushirikiano na watu wa Marekani. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe    / uwazi   FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Comments