Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Dj Kezz - NATETEWA /NEEMA [Official Music Video] в хорошем качестве

Dj Kezz - NATETEWA /NEEMA [Official Music Video] 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Dj Kezz - NATETEWA /NEEMA [Official Music Video]

#djkezzkenya #Natetewa #7hm Based on Her True Life Story, This is The Official Music Video For NATETEWA By Dj Kezz Kenya NATETEWA [NEEMA] SWAHILI LYRICS Mwenzenu mi natetewa, Na Neema. Ninapigariwa na Neema Jamani ninatetewa na Neema Ninapiganiwa vita vyangu - Na Neema. Aliniita, wacha niwashangaze! Alinichagua, Mimi mkuu wa dhambi Nimeonja neema ya Yesu Nimeonja Huruma zake. Alinipenda Kwa udhaifu wangu Nimengaa Neema Inanitosha. Kwa Neema Ya Yesu nimekombolewa - Kwa njia ya Imani, Kwa Njia ya Imani Jambo hili si tokeo la júhudi zetu - Bali ni mungu ametupa zawadi Wala halitokani na matendo yetu - Asije mtu akajivunia Kitu Mwenzenu mi natetewa, Na Neema. Ninapigariwa na Neema Jamani ninatetewa na Neema Ninapiganiwa vita vyangu - Na Neema. Mimi Mwenzenu, ni nini hata hamnijali? Kila mara mwajishughulisha na vya Kwangu Mimi. Maisha yangu tayari magumu duniani, Maneno yenu makali yachoma Yaniweka chini Wewe wacha Kunichunguza Kila asubuhi Kukicha, Wanijaribu hadi jua likitua. Nimekua shabaha ya Mapigo yako Kwani nimekua Mzigo Kwako Maisha yangu yamekua Cinema Kwako Kwanguka Kwangu ndio furaha ya Kwako. Nikitenda dhambi, Yakudhuku nini, Mkaguzi wa Binadamu wewe Aliyenifia mimi aliniona worthy, Natetewa , natetewa na Neema Yake.... Mwenzenu mi natetewa, Na Neema. Ninapigariwa na Neema Jamani ninatetewa na Neema Ninapiganiwa vita vyangu - Na Neema. Video Directed By - Jijo Drumbeats Audio Producer - Giddy Vibes Make Up Artist - Make Up By Linda Hair By - SANDE Dressed By - House Of Kezz Designs Special Thanks to Friends International Church - Ngong Road and Formula 1 Syokimau for Allowing Me to Tell My Story At Your Premises. #djkezzkenya #Natetewa #7hm

Comments