Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MDAHALO MKUBWA WA WAISLAMU NA WAKRISTO, Namba 1 в хорошем качестве

MDAHALO MKUBWA WA WAISLAMU NA WAKRISTO, Namba 1 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MDAHALO MKUBWA WA WAISLAMU NA WAKRISTO, Namba 1

Mdahalo mkubwa wa amani kati ya wahadhiri wa kiislamu na wakristo, Mdahalo huu uliyofanyika katika kanisa la wasabato Ukonga siku ya tarehe 13/06/2021, Muda kuanzia saa 4:00 asubuhi mpaka saa 11:00 jioni. Majadiliano yaliyo kidhana na hoja kuu mbili ambazo ziliandaliwa kwa makubaliano ya pande zote mbili. MADA: 1.Mitume na Manabii walikuwa dini gani ? 2.Yesu au Nambii Issa alisurubiwa, kufa na kufufuka ? Wahadhiri wa Kiislamu walikuwepo ni hao walio orodheshwa hapo chini: H. MAZINGE, S. KIMYOGOLI, P. SHAFI, R. PILINGU, R. SALIM, S. MAULANAS. BWETA, I. BAKONZI, A. MWAIPOPO, M. LWAMBO, HAMIDU, A. RAJABU, S. MBOGO, Y. DIWANI, A. SHATRI.

Comments