Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб UWT WAIVAA VIKALI CHADEMA/ NI BAADA YA BAWACHA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA SAMIA в хорошем качестве

UWT WAIVAA VIKALI CHADEMA/ NI BAADA YA BAWACHA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA SAMIA 16 часов назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



UWT WAIVAA VIKALI CHADEMA/ NI BAADA YA BAWACHA KUCHOMA VITENGE VYENYE PICHA YA SAMIA

Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (CCM), UWT kupitia mwenyekiti wao Marry Chatanda, wamelaani vikali tukio la Wanachama wa Baraza la Wanawake la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), BAWACHA kwa kitendo cha kuchoma moto vitenge vyenye picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Vitenge hivyo vilivyochomwa moto, Bawacha wanadai walipewa kama zawadi na Rais Samia wakati wa sherehe za Siku ya wanawake Duniani 2023, alipokuwa mgeni rasmi. UWT wametoa tamko hilo hii leo tarehe 01 Oktoba 2024, kufuatia kusambaa kwa video mtandaoni kuhusu kitendo hicho, Aidha UWT wametoa rai kwa vyombo vya ulinzi na usalama kutoshughulika na jambo hilo, kwani wanaamini endapo wakichukuliwa hatua watatafuta huruma na msaada kwenye jumuiya za kimataif 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 692 318213) 🔘Email: [email protected] 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Comments