Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA в хорошем качестве

REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA 11 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA

IBADA YA JUMAPILI - 17 SEPTEMBA 2023 UJUMBE WA LEO: "MASHAKA YA MAISHA" Mathayo 14 : 28 - 36 28 Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji. 29 Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu. 30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe. 31 Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka? 32 Nao walipopanda chomboni, upepo ulikoma. 33 Nao waliokuwamo ndani ya chombo wakamsujudia, wakisema, Hakika wewe u Mwana wa Mungu. 34 Na walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti. 35 Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi; 36 nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa. Mhubiri : Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Comments