Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mume Wangu sio Yule Yule..Je ni mabadiliko au matarajio yetu??😏 в хорошем качестве

Mume Wangu sio Yule Yule..Je ni mabadiliko au matarajio yetu??😏 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Mume Wangu sio Yule Yule..Je ni mabadiliko au matarajio yetu??😏

Tabia ya mtu huwepo na huonekana kutokana na mazingira husika. Wanandoa wengi hulalamika mabadiliko ya tabia za wanaume zao mara tu baada ya kufunga ndoa na majukumu kuongezeka. Je wanaume hubadilika au wanawake huwa na matarajio na kutokukubaliana na uhalisia uliopo kuhusu mume wake?? Tunatengeneza picha ya mwanaume mwingine kichwani na kulazimisha picha hiyo ishabiriane na uhalisia wa mume uliye nae na hupelekea mtanange wa maugomvi ya sio isha kila mara. Kama wanawake wakipunguza matarajio kwa wanaume walionao na kuishi na uhalisia uliopo watakuwa viumbe wenye furaha mno. #shostips #shostitusemezane #tusemezane #shostiart #shostiakee #shotipoem #shosti #fashionHenvy #mahusiano #mapenzi #matarajio #relationshipgoal #couple #uume #mapenzi

Comments