Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mbowe Atoa Msimamo Baada ya Kukamatwa Wanachama 520; 'Tutawashtaki Mmoja mmoja, Haturudi Polisi' в хорошем качестве

Mbowe Atoa Msimamo Baada ya Kukamatwa Wanachama 520; 'Tutawashtaki Mmoja mmoja, Haturudi Polisi' 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Mbowe Atoa Msimamo Baada ya Kukamatwa Wanachama 520; 'Tutawashtaki Mmoja mmoja, Haturudi Polisi'

Leo, tutakuwa tukirusha mubashara tukio muhimu sana katika anga za kisiasa nchini Tanzania. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, atazungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu yeye na viongozi wengine pamoja na wafuasi wa chama hicho kuachiwa na polisi. Katika mkutano huu wa leo, Mbowe anatarajiwa kuelezea kwa kina hali ilivyokuwa, sababu za kukamatwa kwake, na mustakabali wake kisiasa pamoja na chama chake. Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER:   / thechanzo   INSTAGRAM:   / thechanzo   FACEBOOK:   / thechanzo   TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Comments