Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео




Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Salam Ewe Mahdi - Bilal Muslim Mission Shimoni - (سلام فرمانده سواحلی)

MahdiTv new Nasheed Salam ewe Mahdi & 65 kids performing Salam ewe Mahdi Nasheed (C) 2022 Mahdi TV Production. #SALAMEWEMAHDI is the new Nasheed video produced by Mahdi TV Kenya. #SALAMYAMAHDI #ImamMahdi #سلام_فرمانده #سلام_يا_مهدي #MadrasazaNakuru #bilalamuslimmission #shimoni #mombasa Ee mpendwa, Imamu wa zama 3 Dunia bila wewe, hai'na maana Ee wangu Imamu, unapo kuwepo, dunia hii ni pepo 2 Salaam Ewe Mahdi , salaam toka kwetu kizazi hiki kilobaki Salamu Ee Mahdi, Pokea hizi salamu za dhati toka zote pande salamu Ee Mahdi ___ Hamu, Imamu Hamu, ya kukutana nawe Nikusaidie, nikutumikie Kama vile Mikidadi niwee, Kwa hiki kimo changu kidogo, nikufidie 2 ___ Salaam Ewe Mahdi , salaam toka kwetu kizazi hiki kilobaki Salamu Ee Mahdi, Pokea hizi salamu za dhati toka zote pande salamu Ee Mahdi ___ Ni lini mpaka ufike, niko kidete kukuhami ee Imamu Ni lini mpaka ufike, nisimame nawe kwa huu udogo wangu. Ni lini mpaka ufike, kama Qasimu na Asghari twajitolea ## ___ Nami kimo sina, nakuhami pasi na udogo wangu Nami kimo sina, nakuombea kwa mikono yangu midogo Nami kimo sina, bi abi anta wa ummi vyote natoa fidia. vyote natoa fidia. ___ Salaam Ewe Mahdi , salaam toka kwetu kizazi hiki kilobaki Salamu Ee Mahdi, Pokea hizi salamu za dhati toka zote pande salamu Ee Mahdi ___ naahidi utakaponitaka, naahidi niwe mfano wa Jon Naahidi, kama Habibu , kama bilal, kwako twatoa fidia Ahadi hii, naitoa, milele takuhami Kwa mali na nafsi yangu, kwako twatoa fidia ___ Kila siku watu wanakuita, maolana ajjil ya Mahdi usihisi pweke, ewe Imamu, sisi hapa jeshi lako twakungoja ⊶⊰✾⊱⊷⊶⊰✾⊱⊷⊶⊰✾⊱⊷ SINGER: Husein Mwaravino & Jawad Abdallah, Zahra Rocky, Haura AbdulMajid, Twahira Ramadha, Muhammad Swadiq Ng'ang'a, Ali Haidar Warugongo, Kauthar Abdallah. SOUND MIX: Alqais Studio SONG COMPOSER/MAHADHI: Salam Farmande WRITTEN BY: Sheikh salim Mwega, Sheikh Hassan Rocky, Sheikh Suleiman Ali, Sheikh Husein Mwaravino, Sheikh Muhammad Mwega. CAMERAMAN & DIRECTOR & EDITOR: MUHAMMAD MWEGA SPECIAL THANKS TO Madrasatu Swahibu Zaman & Alqaim islamic assembly & Madrasat Muhsin & Madrasatu Amiril Mu'minin & Sheikh Ahamad Hajj Sheikh Hassan Mbugua, Sheikh Suleiman Hinzano, Sheikh Abdallah Tumbo. KIDS FOR VIDEO PERFORM: Madrasatu Swahibu Zaman, Alqaim islamic assembly, Madrasat Muhsin, Madrasatu Amiril Mu'minin. *Follow us on*: YouTube:    / mahditvkenya   Facebook:   / mahditvkenya.  . Twitter:   / mahditvkenya   Instagram:   / mahditvkenya  

Comments