Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MTUMISHI WA SERIKALI AFUTWA KAZI KISA KUTEMBEA NA WANAWAKE ZAIDI YA 400 HUKU AKIWAREKODI VIDEO в хорошем качестве

MTUMISHI WA SERIKALI AFUTWA KAZI KISA KUTEMBEA NA WANAWAKE ZAIDI YA 400 HUKU AKIWAREKODI VIDEO 13 часов назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MTUMISHI WA SERIKALI AFUTWA KAZI KISA KUTEMBEA NA WANAWAKE ZAIDI YA 400 HUKU AKIWAREKODI VIDEO

Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea , Teodoro Obiang Nguema Mangue amesema Serikali ya Nchi hiyo itawatimua kazini Maafisa na Watumishi wote wa Umma ambao ni miongoni mwa Wanawake zaidi ya 400 waliorekodiwa wakifanya mapenzi na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) la Nchini humo, Baltasar Ebang Engonga (54) katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye ofisi za Serikali na nyumbani kwa Ebang akisema vitendo hivyo ni kinyume na maadili ya Utumishi wa Umma. Tayari Ebang ambaye ameoa na ana Watoto sita, amekamatwa kwa kujirekodi akiwa anafanya mapenzi na Wanawake tofauti kwenye mazingira tofauti ikiwemo ofisini kwake ambapo kwenye video hizo ambazo zimesambazwa mitandaoni Ebang anaonekana akifanya mapenzi na Wake za Watu na Wanawake wasio ndani ya ndoa wakiwemo Watu mashuhuri kama vile Mdogo Mke wa Kaka yake , Binadamu yake, na Dada wa Rais wa Nchi hiyo Equatorial Guinea, pia yumo Mke wa Mkuu wa Ulinzi wa Rais wa Nchi hiyo, Mke wa Mwanasheria Mkuu wa Nchi hiyo na Mtoto wa Mkuu wa Jeshi la Polisi la Nchi hiyo. Wengine walioonekana wakifanya mapenzi na Ebang kwenye video ni Mke wa Mchungaji wa Mdogo wake wa kiume, Mke wa Mlinzi wake (Bodyguard), Mke wa Mchungaji wake, Wake wa Mawaziri kadhaa wa Nchinhiyo, Mke wa Mjomba wake ambaye ni Mjamzito, Marafiki 15 wa Mdogo wake wa kike na Wanawake wengine mbalimbali ambapo wote wanaonekana kuwa wameonekana wakiwa wameridhia video hizo kurekodiwa. Video hizo ambazo zinadaiwa kupatikana katika ofisi yake binafsi, inasemekana zimerekodiwa kwa ridhaa yake na zimevuja mtandaoni, na kusababisha mjadala mzito kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Ebang Engonga ni Mkurugenzi Mkuu wa ANIF, ambalo ni Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha la Equtorial Guinea, ambapo majukumu yake yanajumuisha kusimamia uchunguzi wa kifedha na kusimamia shughuli zinazolenga kudhibiti ufisadi wa kifedha Nchini humo.

Comments