Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO в хорошем качестве

ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Kila mwanadamu ndani yake kuna uwezo ambao Mungu ameuweka,na sababu za Mungu kuuweka huo uwezo ndani yako ni kwa sababu kupitia hicho anategemea faida kutoka kwako.Njia hii ukiigundua na kupita ni njia iliyojaa faida nyingi.Wengi tunapitia changamoto sana kwa sababu njia tunazopita sio njia tulizoumbiwa kupita,kazi tunazofanya sio kazi ambazo Mungu ametuumbia kuzifanya.Mungu ameweka vipawa na uwezo mkubwa sana ndani yetu,lakini kwanini havizai matunda? Kupitia somo hili utajifunza kwa undani kama upo kwenye njia sahihi au la,na kupitia hili somo ufahamu wako pia utaenda kufunguka. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook:   / therealityof.  . Follow our Instagram:   / realityofch.  . Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...

Comments