Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Zitakuwa Nyota Tajini || Nyimbo za Kristo #58 в хорошем качестве

Zitakuwa Nyota Tajini || Nyimbo za Kristo #58 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Zitakuwa Nyota Tajini || Nyimbo za Kristo #58

Nyimbo Za Kikristo No. 58: Zitakuwa Nyota Tajini? 1. Leo ninafikiri ya nchi nzuri Ninayotaka kuiona; Nisimamapo karibu na Mwokozi, Tajini zitakuwa nyota? Sijui tajini mwangu kama nyota Zitang'aa kila wakati! Nitakapoamka katika majumba, Zitakuwa nyota tajini? 2. Kwa nguvu za Bwana nitafanya kazi, Nitavuta roho za watu, Ili niwe na nyota katika taji, Bwana anapotupa tunu. 3. Nitakuwa na furaha nikimwona, Kuweka miguuni pake Watu waliovutwa kwa ajili ya Kazi yangu na Roho yake. Subscribe to the West Kenya Union Adventist Media http://bit.ly/wkumedia Connect with WKU Media: Visit the WKU WEBSITE: http://wku.adventist.org Like WKU Media on FACEBOOK: http://bit.ly/WKUmediaFB Check out WKU Media on INSTAGRAM: http://bit.ly/WKUmediaIG Follow WKU Media on TWITTER: http://bit.ly/WKUmediaTW About WKU Media: An Adventist Media Center that gathers, packages, and disseminates messages of Hope through different media platforms. Welcome to the WKU Adventist Media Channel! https://www.youtube.com/channel/UC8Dc...

Comments