Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб YESU KWETU NI RAFIKI/WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS.DANIEL SIFUNA. TENZI No9. SWAHILI WORSHIP SONGS. в хорошем качестве

YESU KWETU NI RAFIKI/WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS.DANIEL SIFUNA. TENZI No9. SWAHILI WORSHIP SONGS. 8 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



YESU KWETU NI RAFIKI/WHAT A FRIEND WE HAVE IN JESUS.DANIEL SIFUNA. TENZI No9. SWAHILI WORSHIP SONGS.

 SWAHILI 1. Yesu kwetu ni rafiki Hwambiwa haja pia, Tukiomba kwa babaye, Maombi asikia Lakini twajikosesha Twajitweka vibaya, Kwamba tulimwomba Mungu Dua angesikia. 2. Una dhiki na maonjo, Una mashaka pia, Haifai kufa moyo, Dua atasikia, Hakuna mwingine Mwema Wakutuhurumia, Atujua tu dhaifu, Maombi asikia 3. Je hunayo hata nguvu Huwezi kwendelea, Ujapodharauliwa, Ujaparushwa pia, Watu Wangekudharau, Wapendao Dunia Hukwambata Mikononi Dua atasikia. ENGLISH What a friend we have in Jesus All our sins and griefs to bear What a privilege to carry everything to God in prayer! O what peace we often forfeit O what needless pain we bear All because we do not carry everything to God in prayer Have we trials and temptations? Is there trouble anywhere? We should never be discouraged Take it to the Lord in prayer Can we find a friend so faithful Who will all our sorrows share? Jesus knows our every weakness Take it to the Lord in prayer Are we weak and heavy-laden,   Cumbered with a load of care? Precious Savior, still our refuge—   Take it to the Lord in prayer; Do thy friends despise, forsake thee?   Take it to the Lord in prayer; In His arms He’ll take and shield thee,   Thou wilt find a solace there FACEBOOK; Daniel Sifuna TIKTOK; danielsuna2 MR. D RECORDS SWAHILI WORSHIP SONGS 2024 TENZI ZA ROHONI YESU KWETU NI RAFIKI. GOD BLESS YOU ALL 🙏🙏

Comments