Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ONLYONEDELO - CHEZA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) sms Skiza 5800274 to 811 в хорошем качестве

ONLYONEDELO - CHEZA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) sms Skiza 5800274 to 811 4 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ONLYONEDELO - CHEZA (OFFICIAL MUSIC VIDEO) sms Skiza 5800274 to 811

#Onlyonedelo #Cheza #Ngomma CHEZA CHORUS 1 (×2) Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada. VERSE 1 Ni yule kijana mmoja gaidi Sana sana tena zaidi Mi nakazana kisha miti Na nikifika bei naskia fiti Naipigia kwenye bed kisha juu ya kiti Shhh ndani ya kitu shhh juu ya titi Change position ni kama unapiga deki Na ukule hiyo haga ni ka unakula keki Na ukuwe rada jo juu unaeza bleki Kiki Kiki do you Love me? Apantambua hizo jo mi si mlami Hotter dan de sun fika basi jo Miami Ubaya na majuu huwezi pata jo majani Kunitoa base ni kunipa mtihani Tuende mtaa babe nikupe mti hunnie Nakushika koo unaeza dhani mi sijali CHORUS 2 (×2) Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada. VERSE 2 Wakinicheki wanatii wanajuwa mi ni ordinare Dem yako nyati na akingoa ni vibare Odi odi Kawangware vijana sugu namba nane Wakisha kitu Brejin leta nare Na madem wainame Injection ya sare Funga bao kama nane Na wapige nduru nimewageuza manugu Na tukimunju wanageuka ma bubu Amepiga magoti unaeza dhani anaabudu Anadai nimwage ndani njugu njugu Ni kijana wa kambi flani Jamhuri Si wa leo si wa jana wala jo si wa juzi ONLYONEDELO ALO🤫 CHORUS 3 (×2) Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada. VERSE 3 Songa na idhaa Bussa J na Mkala Wakuu family hao sasa ndio wakanda Shuka na madam mjulubeng ukiwa Zimenishika zimenishika manze jo nina dawa Si ati juu nina bars unibebe mi mlevi Mi rada na ma shash macho nyanya kuliko pedi Napendanga ile safi nikipiga nina medi Na story za wasafi tulirudisha Tizedi Before this fame nimesumbuliwa na ma mbanga Na kama si fame story ingekuwa ya madaga I find this lame kuhudumiwa na mganga Machungu so lime bora Jah ananipendanga Shout to my Mama juwa milele Nakupenda Shout out to the months zile zote umenibeba Shout out to the ladies wale wote nimekemba Shout to my wifey she's the last body bender. CHORUS 4 (×2) Cheza na hiyo kitu na unajuwa ni ya jana Cheza na hizo mbichwa macho coloured yaani nyanya Cheza biz ya doh unajuwa hatuwezi kosana Wanacheza tu below kazi ni kusoma rada. KING OF GENGE ONLYONEDELO ALO ALO Ata usipo jam kwa hiyo ngoma bado utadedi ALO🤫

Comments