Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб HARUSI TUNAYO HATUNA? - ST. STEPHEN USHIRIKA CHOIR KITENGELA в хорошем качестве

HARUSI TUNAYO HATUNA? - ST. STEPHEN USHIRIKA CHOIR KITENGELA 4 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



HARUSI TUNAYO HATUNA? - ST. STEPHEN USHIRIKA CHOIR KITENGELA

Harusi tunayo hatuna? Huu wimbo ambao ni utunzi wake mwalimu Ochieng Odongo mwenyewe ni wa kusherehekea harusi yao na Alice Aseyo iliyofanyika tarehe 27/4/2019. Kupitia kwaya hii wanaomba baraka na ufanisi katika maisha yao ya ndoa. LYRICS : HARUSI TUNAYO 1.Bwana na bibi harusi tembeeni kwa pamoja mmeshikana mikono leo ni siku yenu. Leo mmefunga ndoa mbele ya watu wa Mungu Baraka za Mungu Baba kweli mmepokea. Harusi tunayo hatuna? Harusi tunayo (kweli) x2. Ni shangwe shangwe (ni shangwe), ni shangwe shangwe (ni shangwe) ni shangwe shangwe jamani siku ya leo x2. 2.Ona vile watu wengi wamejitokeza kweli ili wakashuhudie vile mnapendana. Msizisahau kamwe ahadi mlizotoa msitengane daima muishi kwa upendo. 3.Japo changamoto nyingi zitawaandama nyinyi lakini kwa sala zenu hamtatikisika. Msiwakubali watu wale wenye nia mbaya kuja navyo vishawishi vya kuwatenganisha. 4. Vyakula tutavikula na vinywaji tutakunywa tukiisherehekea siku hii ya leo. Nyimbo zile tamutamu tutaimba na kucheza kwa shangwe pia na mbwembwe nderemo na vifijo. 5.Ona vile mwapendeza mmenga’ra kwelikweli hebu ringeni kidogo leo ni siku yenu. Mkacheze bila woga msiwe na wasiwasi tunawatakia mema katika ndoa yenu.

Comments