Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Dk Biteko atoa wito wanaoagiza magari kuagiza yanayotumia umeme в хорошем качестве

Dk Biteko atoa wito wanaoagiza magari kuagiza yanayotumia umeme 3 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Dk Biteko atoa wito wanaoagiza magari kuagiza yanayotumia umeme

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko ametoa wito kwa Watanzania wanaoagiza magari kuagiza magari yanayotumia nishti ya umeme kutokana na Serikali kuwekeza kwenye nyenzo na miundombinu ya kuchaia magari hayo. Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Mei 30, 2024 jijini Dodoma wakati alipozindua Magari yanayotumia nishati ya Umeme, Kituo cha Kuchajisha magari ya umeme cha Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) , pamoa na jengo la ofisi za matumizi bora ya nishati ya UNDP. Aidha Dk Biteko pia ameelekeza mpango matumizi bora ya nishati unaoendelea kuandikwa ukamilishwe mapema ili uweze kusomana na mpango wa nishati safi ya kupikia pamoa na mpango wa matumizi bora ya gesi asilia.

Comments