Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб RAIS MWINYI AIPA SIMBA ENEO LA KUJENGA KITUO CHA SOKA ZANZIBAR в хорошем качестве

RAIS MWINYI AIPA SIMBA ENEO LA KUJENGA KITUO CHA SOKA ZANZIBAR 1 день назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



RAIS MWINYI AIPA SIMBA ENEO LA KUJENGA KITUO CHA SOKA ZANZIBAR

ZANZIBAR: RAIS Dk. Hussein Mwinyi wa Zanzibar amepongeza mpango wa klabu ya Simba wa kujenga kituo cha kukuza vipaji vya vijana katika soka, akisema ni hatua nzuri kwa maendeleo ya michezo Zanzibar. Ameahidi kuwa serikali iko tayari kusaidia mradi huo kwa kutoa eneo la ujenzi wa kituo hicho. Rais Mwinyi pia ametoa wito kwa vilabu vya michezo nchini kucheza michezo yao mingi zaidi Zanzibar, akisema hatua hiyo itaimarisha sekta ya michezo na kuongeza hamasa kwa vijana kupenda michezo. Aidha, Rais Mwinyi amesisitiza kwamba Zanzibar ina vipaji vingi vya vijana ambavyo vinahitaji kuendelezwa, hasa kwenye mchezo wa soka, ili kutoa wachezaji wenye uwezo wa kusaidia vilabu na timu za taifa kwa mafanikio makubwa. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Comments