Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MAUAJI YA KUTISHA!!! ADAIWA KUMUUA MKE , MFANYAKAZI AWATOBOA MACHO KILICHOTOKEA HIKI HAPA в хорошем качестве

MAUAJI YA KUTISHA!!! ADAIWA KUMUUA MKE , MFANYAKAZI AWATOBOA MACHO KILICHOTOKEA HIKI HAPA 22 часа назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MAUAJI YA KUTISHA!!! ADAIWA KUMUUA MKE , MFANYAKAZI AWATOBOA MACHO KILICHOTOKEA HIKI HAPA

Polisi Mkoa wa Tanga linamtafuta Alii Bagidai (60), mkazi wa Barabara ya 4, Wilaya na Jiji la Tanga kwa tuhuma za kumuua mkewe Saira Mohammed (50) na binti wa kazi anayejulikana kwa jina moja Asha (20) kwa kuwanyonga na kamba ya katani shingoni, kisha kuwatoboa macho. Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa huo, Almachius Mchunguzi jana Jumatatu Septemba 30, 2024 imeeleza tukio hilo limetokea jana saa 1:00 usiku na baada ya mtuhumiwa kufanya kitendo hicho alitoroka. Kamanda Mchunguzi ametoa wito kwa wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kutoa taarifa mahali atakapooneka mtuhumiwa huyo, ili akamatwa na sheria ichukue mkondo wake. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa, Lumumba Shemdoe amesema bado hawafahamu chanzo cha tukio, ila waliokutwa na tukio hilo wote ni wananchi wa mtaa wake. Soma zaidi katika tovuti ya Mwananchi (Video na Rajabu Athuman)

Comments