Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO в хорошем качестве

SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



SADAKA(FUNGU LA KUMI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Sadaka ni jambo la kiroho na ni jambo lenye matokeo makubwa sana,iwe katika upande wa nuru au wa giza.Miongoni mwa kazi za sadaka ni kwamba unapoitoa haiwi kwa ajili yako tu ila inahusisha hadi uzao wako,iwe unajua ama hujui.Kama ambavyo sadaka inaweza kuleta baraka kwenye maisha ya mtu na uzao wake,pia inaweza kuleta laana kwenye maisha ya mtu na uzao wake..inategemea imetolewa katika madhabahu ipi na kwa lengo gani. Karibu ujifunze kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando namna sadaka inavyofanya kazi katika ulimwengu wa roho.Somo hili litabadilisha kabisa mtazamo wako juu ya sadaka,na hata utoaji wako utabadilika,hautotoa tu kimazoea ila wakati unatoa utakuwa unajua unafanya nini. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook:   / therealityof.  . Follow our Instagram:   / realityofch.  . Subscribe our YouTube: https://www.youtube.com/channel/UC67L...

Comments