Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA в хорошем качестве

TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA 4 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA

TOP 10: KAULI ZA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE ZILIZOTIKISA Trh 14 october mwaka 2019 ni maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa, hayati Jullius Kambarage Nyerere.Katika uhai wake kuna mambo mengi sana ambayo amekuwa akiyasema katika njia ya kufikisha ujumbe wa namna anavyochukizwa na hivyo vitu.Hii leo nimekuletea kauli 10 za baba wa taifa zenye nguvu zinazoendelea kuishi mpaka leo. Ilikuwa ni mwaka 1995 wakati wa kamati kuu ya CCM ilipoketi kule Dodoma kwenye vikao vyao vya kumteua mgombea urais ambaye atamrithi rais wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi. Ndipo mwalimu Jullius Kambarage Nyerere alipopata nafasi ya kutoa nasaha zake, ambapo katika hotuba yake alizungumzia mambo mbalimbali kwanza alizungumzia adui namba moja wa taifa hili, Rushwa na namna ambavyo kiongozi ajaye anatakiwa apambane nayo. #miaka20yakumbukiziyababawataifa YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) --------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: https://www.youtube.com/playlist?list... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list... GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list... EXCLUSIVE INTERVIEWS:https://www.youtube.com/playlist?list...

Comments