Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU WAZIRI SILAA, AMPA MILIONI 10 PROPHET SUGUYE "MTAFAKARI BAADA YA PASAKA" в хорошем качестве

RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU WAZIRI SILAA, AMPA MILIONI 10 PROPHET SUGUYE "MTAFAKARI BAADA YA PASAKA" 6 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU WAZIRI SILAA, AMPA MILIONI 10 PROPHET SUGUYE "MTAFAKARI BAADA YA PASAKA"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amempigia simu Prohet Nicolaus Suguye katika Maadhimisho ya miaka 17 ya Huduma za Kiroho Katika Kanisa la WRM Kivule Jijini Dar es salaam pamoja na kumpatia pesa taslimu kwa ajili ya zawadi ya Pasaka kwa Kanisa hilo nakuwataka watanzania kuyatafakari vyema mafunzo ya dini kwa kuungana na kukaa kwa wema. “Wakati nawapongeza kwa kusheherekea pasaka hapo hapo niwatake mtafakari vyema maana ya pasaka lakini pia kuleta ule undugu tunapokusanywa kwenye makanisa kwa umoja wetu basi tukumbe ule undugu na mshikamano kwa umoja “ Rais Samia akimuwakilisha Rais samia suluhu Hassan Waziri Silaa amewaomba waumini na watanzania kwa ujumla waendelee kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan kwa kuendelea kuliongoza Taifa Vyema Naye Nabii wa Kanisa WRM , Nicolous Suguye alimshukuru Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kumpatia usajili rasmi wa Kanisa hilo.

Comments