Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб AMUUA MWENZIE AKIMUHISI KATEMBEA NA MKEWE, MUUAJI ADUNDA MTAANI, WANANCHI WAANDAMANA, DC AINGILIA.. в хорошем качестве

AMUUA MWENZIE AKIMUHISI KATEMBEA NA MKEWE, MUUAJI ADUNDA MTAANI, WANANCHI WAANDAMANA, DC AINGILIA.. 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



AMUUA MWENZIE AKIMUHISI KATEMBEA NA MKEWE, MUUAJI ADUNDA MTAANI, WANANCHI WAANDAMANA, DC AINGILIA..

AMUUA MWENZIE AKIMUHISI KATEMBEA NA MKEWE, MUUAJI ADUNDA MTAANI, WANANCHI WAANDAMANA, DC AINGILIA.. Siku chache baada ya kijana Ibrahimu Nicodems, kuuawa kwa kuchomwa kisu na mtu aliyefahamika kwa jina la Thomas Amsii katika mtaa wa Sawe kata ya Maisaka mjini Babati na mtuhumiwa huyo kuachiwa kwa dhamana, wananchi wa mtaa huo wameandamana wakitaka mtuhumiwa achukuliwe hatua. Taharuki hiyo ya wananchi imemlazimu mkuu wa wilaya ya Babati, Lazaro Twange, kufika Sawe na kuzungumza na wananchi hao ambao mbali na malalamiko hayo wamedai kuwa hawana imani na mwenyekiti wa mtaa wao Bwana Michael John. Hata hivyo DC Twange aliwaongoza wananchi hao kupiga kura ya wazi ambazo nyingi zilisema hazimuhitaji Mwenyekiti huyo. Pamoja na hayo Twange amesema ofisini kwake amepokea malalamiko mengi yanayomhusu Kiongozi huoyo wa Mtaa. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST:    • GLOBAL COMEDY/MOVIES   ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Comments