Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MWOKOZI WETU(SMS SKIZA 6930245) - PAPI CLEVER & DORCAS ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP EP 126 в хорошем качестве

MWOKOZI WETU(SMS SKIZA 6930245) - PAPI CLEVER & DORCAS ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP EP 126 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MWOKOZI WETU(SMS SKIZA 6930245) - PAPI CLEVER & DORCAS ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP EP 126

#PAPI_CLEVER_DORCAS #Mwokozi_wetu #NYIMBO_ZA_WOKOVU #INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO #MORNING_WORSHIP #mahirwe01 Audio Producer : Papi Clever Video Director : MUSINGA D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa Video Editor : Cyusa colorist : Cyusa location ; Bugesera lake Hotel You can support this ministry through Phone: +250783255262 Email : [email protected] Number 141 NYIMBO ZA WOKOVU 1 Mwokozi wetu anatupa furaha duniani, atuongoza kwa neema na anatushibisha. Tazama, yupo pamoja nasi, neema haitaisha kamwe! Haleluya, haleluya, haleluya, Amina! 2 Ni vema kumpenda Mungu aliyetukomboa, vizuri kuwa mtu wake, sitapotea kamwe. Furaha yetu itabakia, ikiwa vyote vingetoweka. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 3 Ikiwa giza mara nyingi, na jua likifichwa, na tukijaribiwa huku twajuwa ni kwa mda. Mbinguni hatutaona kamwe huzuni wala machozi tena. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 4 Na tusisumbukie tena chakula wala nyumba, maana vyote twavipata kwa ne’ma yake Mungu. Njiani yote atuongoza aichukuwa mizingo yetu. Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! 5 Ikiwa vema huku chini kutegemea Yesu, furaha gani huko juu kuona uso wake. Tutaiona furaha tele, na utukufu hautaisha, Haleluya, haleluya, haleluya, Aminia! #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #congogospelmusic Alka Mbumba #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus #kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group Kelsy Kerubo Tanzanian icon, Rose Muhando. JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO rose muhando songs Rose Muhando - Secret Agend Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe. ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA

Comments