Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MAPITO Part 1_ latest swahiliwood Bongo movie в хорошем качестве

MAPITO Part 1_ latest swahiliwood Bongo movie 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MAPITO Part 1_ latest swahiliwood Bongo movie

Miongoni mwa movie Kali za kibongo ambazo zilitikisa kwa visa vikali katika filamu akiwemo Steven Kanumba, basi ni filamu hii ya Mapito, Filamu hii kisa chake kipo Kama filamu ya Kinaijeria ya BEST WIFE ambapo dada mmoja anakosea namba wakati anatuma pesa na kumtumia mtu mwingine ambaye ni tajiri mmoja lakini mtu huyo anajifanya maskini msukuma mkokoteni ili kumpima mwanamke huyo. Katika Movie hii ya kibongo inawaunganisha waigizaji Hemed Suleiman, Snura Mushi, Jackline Pentizel, Mohamed Nurdini, Rose Ndauka,. Hakika pindi uitazamapo filamu hii, huwezi kujutia muda wako ata siku moja, hivyo nikukaribishe kuweza kuitazama filamu hii ili upate elimu ya kutosha jinsi ya kupata mwenzi wako aliye bora.

Comments