Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako в хорошем качестве

NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako 3 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



NENO LA SIKU | Luka 11 | Maombi Ya Kufungua Riziki Yako

Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya kumi na moja, na tunaenda kufanya maombi ya kufungua riziki yako. Katika ulimwengu wa roho, riziki ya mtu kwenye maisha inaweza ikafungwa na pia inaweza ikafunguliwa. Riziki inapofungwa ni pale ambapo mambo yako yanapoanza kukwama kwa namna ambayo unashindwa kupata mahitaji ya maisha yako. Na shetani amekuwa akifunga riziki za watu na kuwafanya wapite mahali pagumu kiuchumi. Lakini pamoja na yote, habari njema ni kwamba tunao ushindi ndani ya YESU. Aliposema tuombe Mungu atupe riziki zetu kila siku, alikuwa anatufungulia mlango wa ushindi katika ulimwengu wa roho. Alikuwa anatungulia njia ya ukombozi katika ulimwengu wa roho. Na katika maombi ya leo, tunaenda kufungua riziki zetu zilizofungwa na shetani. Nami nakuombea, utakapokuwa unaomba upokee msaada wa Mungu, na upate ushindi wako kwa utukufu wa jina la YESU. Nakuombea maisha yako yabadilike kuanzia leo, na kama ulikuwa unapita mahali pagumu kiuchumi, basi YESU akupe msimu mpya na mwanzo mpya wenye baraka, ushindi, na utoshelevu ndani yake. Mungu akubariki sana na akupe ushindi mkuu. Damu ya YESU ikufunike na kukulinda. Amen! Isaac Javan +255 745 76 45 72

Comments