Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб GWAJIMA: "Marufuku Kulia Kwenye Msiba wa Mama Yangu" в хорошем качестве

GWAJIMA: "Marufuku Kulia Kwenye Msiba wa Mama Yangu" 6 лет назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



GWAJIMA: "Marufuku Kulia Kwenye Msiba wa Mama Yangu"

GWAJIMA ALIVYOPIGA MARUFUKU WATU KULIA. ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dk. Josephat Gwajima ameacha gumzo na mshangao baada ya kuzuia watu kulia kwenye ibada ya kumuaga mama yake mzazi, Bi. Ruth Paulo Gwajima iliyofanyika nyumbani kwa mchungaji huyo na kisha mwili wa marehemu kuzikwa kwenye shamba la familia, nje kidogo na nyumbani hapo, Salasala jijini Dar. Mama mzazi wa Gwajima alifariki Jumapili ya wiki iliyopita baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa muda mrefu. Marehemu ameacha mume, watoto 11 wajukuu na vitukuu. FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1   Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…    / uwazi1      / uwazi1      / uwazi1   WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Comments