Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб BASHE - ''KWA NINI MWIZI UNAMPELEKA TAKUKURU, SIKILIZA MOVIE YA KIHINDI HII'' в хорошем качестве

BASHE - ''KWA NINI MWIZI UNAMPELEKA TAKUKURU, SIKILIZA MOVIE YA KIHINDI HII'' 5 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



BASHE - ''KWA NINI MWIZI UNAMPELEKA TAKUKURU, SIKILIZA MOVIE YA KIHINDI HII''

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe, amemwagiza Mrajisi wa Vyama vya Ushirika nchini Dk. Benson Ndiege kumaliza mara moja suala la wizi unaofanyika katika vyama hivyo vinginevyo nafasi yake ipo hatarini. Bashe, alisema hayo Leo jijini Dodoma alipokuwa akifungua mkutano mkuu wa 14 wa wadau wa Kahawa nchini uliofanyika leo April 16 2024. Amesema, suala la wizi katika vyama vya ushirika nchini linapaswa kukomeshwa mara moja kwani limekuwa moja ya sababu ya kuwanyonya na kuwaumiza wakulima. "Kuna vyama vya ushirika viongozi wake wamechukua fedha  shilingi milioni 200 za wanunuzi wa kahawa lakini wamegoma kurejesha fedha hizo wala kutoa kahawa na deni hilo lote linabebwa na wakulima. "Nakuagiza Mrajisi wa vya vya ushirika wizi huu na ujambazi unaofanywa katika vyama hivi unakwisha mara moja na mimi Ma DG wengi wa wizara hii ambao nimewaondoa kwenye nafasi zao ni kwasababu nilikua nawaambia kama hivi lakini hawachukui hatua"alisema Bashe Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo MEDIA COVERAGE 1.Goverment Events 2.Social Events 3.Documentary 4.Live Streaming 5.Zoom Meting 6.Photo & Videograph BUSINESS ADVERTISEMENT #Hotel #Appartiment #Restaurant #Supermakert #Hall #Sallon #New Business PTINTING 1.Banner 2.Sticker & Flyers 3.Brochures 4.Business Card 5.Graphics Design 6.Logo Design 7.Tshirt Printing Call Us 0716909567 0766909567 DODOMA

Comments