Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб MRADI WA KIJANI HAI UTAKAVYOLETA MANUFAA KWA WANANCHI WA LYELEMBO в хорошем качестве

MRADI WA KIJANI HAI UTAKAVYOLETA MANUFAA KWA WANANCHI WA LYELEMBO 2 недели назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



MRADI WA KIJANI HAI UTAKAVYOLETA MANUFAA KWA WANANCHI WA LYELEMBO

Afisa Mazingira wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Bwana Rodney Ngalamba amasema mradi wa Kijani Hai unaotekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Mkalama kwa kushirikiana na shirika la Helvetas Tanzania pamoja na GIZ utaleta faida kubwa kwa wakazi wa Lyelembo na wilayani Mkalama kwa ujumla Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara ya kutathimini hali ya mto wa msimu unaopatikana katika Kijiji cha Lyelembo ili kubaini shughuli za binadamu zinazopeleka mto huo kukauka na pia kutokea kwa mmonyoko wa udongo. “Mradi huu umelenga kuzuia mmomonyoko wa udongo katika mto huu ili kuepusha athari mbalimbali zinazosababishwa mmomonyoko wa udongo, mafuriko. Kupitia mradi huu, tutapanda majani, miti kuzunguka mto huu na tutatumia njia mbalimbali ili kuzuia tatizo hili, na kupeleka kuboresha ardhi ambayo itawanufaisha wananchi wa eneo hili” Ngalamba

Comments