Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб DNA YAANIKA UKWELI KUHUSU MTOTO WA MASANJA NA MKEWE MONIKA,NDUGU WA MAREHEMU WANADAI NI DAMU YAO. в хорошем качестве

DNA YAANIKA UKWELI KUHUSU MTOTO WA MASANJA NA MKEWE MONIKA,NDUGU WA MAREHEMU WANADAI NI DAMU YAO. 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



DNA YAANIKA UKWELI KUHUSU MTOTO WA MASANJA NA MKEWE MONIKA,NDUGU WA MAREHEMU WANADAI NI DAMU YAO.

VIPI JAMAA AKAPIME DNA ....AU APOTEZEE...? Mapya yameendelea kuibuka juu ya sakata la mchejeshaji maarufu hapa nchini masanja mkandamizaji na mkewe lakini pia jinamizi la aliyekuwa katibu wa kanisa lao linaendelea kuwaandama wanandoa hao. Baada ya kile kinahodaiwa kuwa katibu huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na bibie monika ambaye ni mke wa masanja. Mambo yamezid kwenda mbali zaidi na sasa inasemekana kuwa katibu alizaa na mke wa masanja .page mbali mbali za udaku hapa Tanzania zimeeleza kuwa ndugu wa marehemu wanadai kuwa ndugu yao alizaa na monika  . Na UGOMVI uliibuka baada ya Jamaa kuanza kudai Mtoto wake ambaye sisi wananzengo tunajua ni Mtoto wa masanja na mkewe Kwa leo ngoja tuishie hapo lakini lakini ngoja tuone kama masanja ataamua kupima DNA ili kuzima minong'ono inayoendea uko mitandaoni au vipi ....? #mtotowamasanja #katibuajiua #mtotowamasanja

Comments