Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб UKWELI KUHUSU KUTOKUJA KWA MAVERICK CITY NA KIRK FRANKLIN TANZANIA KATIKA TAMASHA LA KINGDOM TOUR в хорошем качестве

UKWELI KUHUSU KUTOKUJA KWA MAVERICK CITY NA KIRK FRANKLIN TANZANIA KATIKA TAMASHA LA KINGDOM TOUR 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



UKWELI KUHUSU KUTOKUJA KWA MAVERICK CITY NA KIRK FRANKLIN TANZANIA KATIKA TAMASHA LA KINGDOM TOUR

Mnamo hapo jana Tarehe 15 ilikuwa ndio siku ambayo. Kundi la Maverick city kutokea marekani pamoja na kirk frankilin walipaswa kufanya tamasha la KINGDOM WORLD TOUR ambalo lilikuwa imeshafanyika katika nchi mbalimbali za Africa kama SOUTHAFRICA, MALAWI, UGANDA, ZAMBIA, na Kesho hapo Kufanyika kenya Lakini kutokana na issues Mbali mbali imekuwa changamoto wao kufika Hapa nchini na KUENDELEA NA TAMASHA HILI hali iliyopelekea Taharuki lakini mshangao kwa watu . GN TV IMEZUNGUMZA na mtumishi wa Mungu @johnlisu ambaye ndiye aliyekuwa host wa watumishi hao na alikuwa akifuatilia shughuli nzima ya wao kufika hapa Tanzania. Ili kujua kwanini Tamasha hilo limeshindikana Kufanyika! Sikiliza kwa makini sana Lakini pia Utajifunza Mengi sisi kama watanzania tuweze kujifunza Kubadilika nakusuposrt hizi event sio za watu wengine wa nje tu lakini Hata wa hapa Tanzania MSIKILIZE JOHNLISU ANAVYOFAFANUA. @gospeltothenationstz

Comments