Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mke wa Mbarikiwa ahubiri baada ya siku ya pili ya kuzika. KONGAMANO MBEYA KANISANI SIKU YA 3 в хорошем качестве

Mke wa Mbarikiwa ahubiri baada ya siku ya pili ya kuzika. KONGAMANO MBEYA KANISANI SIKU YA 3 Трансляция закончилась 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Mke wa Mbarikiwa ahubiri baada ya siku ya pili ya kuzika. KONGAMANO MBEYA KANISANI SIKU YA 3

MUNGU UTAKAYEMWABUDU KWA RAHA KWA SIKU ZOTE ZA MAISHA YAKO NI YULE ALIYEKUSAIDIA KULIKO MATARAJIO /MAOMBI YAKO. (EFESO 3:20, 2 PET 1:3-4, EFESO 1:9-10) Kwa Mungu aina hiyo kila saa na kila siku utatamani uende kumtumikia, kumwomba na kumwabudu hekaluni. Yaani haiwezi pita siku moja bila kuingia hekaluni. (ZABURI 122,1, 84:1-10, 27:4-5) Kwa Mungu wa aina hiyo utatoa mali zako zaidi ya uhitaji (KUTOKA 36:3-7, 1 NYAKATI 29:9-12) #JUMAPILI ZILIZOPITA TULIJIFUNZA :- Fanyia kazi makosa yako ili usidharaulike, usichezewe/kuumizwa hovyo/kirahisi na watu, magonjwa ya pumu, #moyo kutanuka, #kutumia miwani, vidonda vya tumbo, wachawi, mapepo nk. (1 Timo 4:12) Yaani kukutwa na magumu ambayo huoni njia yoyote, mtu yoyote au Mungu atakayekusaidia kwa namna yoyote. Hatumwabudu Mungu anayeweka sawa kila kitu, bali anayetaka tuweke sawa maeneo yenye UTATA KWA MSAADA WAKE (ZABURI 108:13, ISAYA 40:1-5). MTU ANAYETOKA KATIKA IBADA SAHIHI HAOGOPI TATIZO, BALI HULIFWATA KWAKUWA NDIO KIPIMO CHA IMANI.. Mwaka 2022 ni mwaka wa kwenda kwa utakatifu, kufanya mambo kwa namna iliyotakiwa kufanya, kufanikisha mambo kwenye mazingira magumu. Mwaka 2022 kikosi kazi tunakwenda kupanda mambo kwenye mawe na miamba migumu na mazao yataota na tuta yapalilia na kuvuna mazao yaliyo bora. #Mbarikiwa #Mwakipesile akieleza sababu kwanini watu wengi watakubali

Comments