Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб AQUOS R6 PHONE REVIEW IN SWAHILI (by Dickson Wajanja) в хорошем качестве

AQUOS R6 PHONE REVIEW IN SWAHILI (by Dickson Wajanja) 2 месяца назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



AQUOS R6 PHONE REVIEW IN SWAHILI (by Dickson Wajanja)

Aquos R6, Ni simu inayo-support mtandao kwa kasi ya 5G ni single sim card na Ina E-sim hivyo simu hii inaweza tumia laini mbili. Ina betri lenye ukubwa wa 5000mAh kubwa sana tunategemea iweze kutunza chaji muda mrefu zaidi licha ya kuwa na teknolojia zinazotumia moto mwingi kama camera, processors, internet na zaidi Kioo chake ni IGZO OLED kinaukubwa wa nch 6.7 nakiko curved (kina edges) chenye refresh rate ya 240Hz finger print iko kwny kioo na ni-very sensitive Ina kamera kubwa nyuma yenye 20MP na 1 inch sensor inayosaidia kuongeza focus kwny image nakufanya background kuwa (blur) pamoja na kungarisha picha iliyopigwa usiku. Kamera yake ya mbele ni 12MP Storage yake ni 128GB na RAM12 processor yake ni Snapdragon 888 chipset simu hii ni waterproof na dust proof. #review #tech #smartphone #tanzania #aquosr6 #mrwhosethebossshorts #tanzanianyoutuber #kenya

Comments