Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Falles Tagaya ft.Joshua Ndauka- Radio ya Yesu (Official Video) в хорошем качестве

Falles Tagaya ft.Joshua Ndauka- Radio ya Yesu (Official Video) 9 дней назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Falles Tagaya ft.Joshua Ndauka- Radio ya Yesu (Official Video)

Radio ya yesu ni wimbo uliobeba hadithi ya moja kati ya watu wengi waliosikia habari za yesu kupitia radio na kuchukua maamuzi ya kuokoa.wimbo huu unadhihirisha nguvu ya Mungu kuwatafuta watu wake kupitia ushawishi wa roho mtakatifu.wimbo huu pia unaonyesha umuhimu wa vyombo vya habari katika kupeleka injili ya YESU KRISTO nakubadilisha maisha ya watu.Zipo redio nyingi za dini na zisizo za dini ambazo huwa na vipindi maalumu kwa ajili ya neno la Mungu ,Mungu azidi kubariki vyombo hivyo ,wimbo huu unawakumbusha kuwa kazi wanayofanya si bure bali matunda yapo.Nikukaribishe kusikiliza wimbo huu mzuri utakaobariki maisha yako. Jesus' Radio is a song that carries the story of one of the many people who heard the news of Jesus through the radio and took decisions to be saved. This song shows the power of God to find his people through the influence of the Holy Spirit. This song also shows the importance of the media in sending the gospel of JESUS ​​CHRIST changes people's lives. There are many religious and non-religious radio stations that have special programs for the word of God, may God continue to bless those instruments, this song reminds them that the work they do is not in vain but there are fruits. I welcome you listen to this beautiful song that will bless your life.

Comments