Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ILAHI KARIMU TAKABALI DUA в хорошем качестве

ILAHI KARIMU TAKABALI DUA 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ILAHI KARIMU TAKABALI DUA

ILAHI KARIMU TAKABALI DUA | KHADIJA AKTHAM 🖋 QASWIDA IMETUNGWA NA ALHABIB HASSAN BADAWY JAMALULEIL (ALLAH AMRAHAMU) 🎬 PRODUCTUON - ALIHSAAN RECORDS 1) Wewe ni mwenye tabia adhwimi Ilahi amemwambia mtumi Katika qur'anil karimi Inna kala3laa khulukin adhimi 2) Illahi alimu sote watuyuwa Na yetu muhimu yote waelewa Wewe ni karimu mwingi wa zipowa Ilahi karimu takabali dua 3) Twakuomba wewe usiomethali Sisi utokoe kwa tumwa na ali Dhiki zitatue zote fil hali Ilahi karimu takabali dua 4) Kwa wako rasuli ulomtauwa Tunatawasali dua tukitowa Zitengeze hali utupe afuwa Ilahi karimu takabali dua 5) Yalo tutatiza ndiwe mtatuzi Kiondoshe kiza ambacho huuzi Tupe muangaza upesi na 3ezi Ilahi karimu takabali dua 6) Utupe umri utupe afiya Na mambo mazuri ukitufanyia Tuishi kwa kheri pasina udhiya Ilahi karimu takabali dua 7) Sisi na zijana furaha pamoya Kulla la maana tukiwatendeya Wao kulingana nasi kuwayeya Ilahi karimu takabali dua 8) Kwa zetu juhudi na niaze njema Ni hatuna budi ww kukwegema Umetuahidi tupe kula mema Ilahi karimu takabali dua 9) Rwabi tufungue hizi pingu zako Rwabi zitatue kwa rehema zako Sote tutongoe shukurani zako Ilahi karimu takabali dua 10) Nazituvumie pepo za baraka Na utukifie kula heka heka Tuyasikilie mema tulotaka Ilahi karimu takabali dua 11) Utufutahie futaha za kheri Utukusanyie kula lilozuri Sote tulivae taji lenye kheri Ilahi karimu takabali dua 12) Rejesha furaha twalokua nazo Na njema buraha kula tutakazo Tue tuna raha hatuna mikazo Ilahi karimu takabali dua 13) Na majumba yetu yahifadhi yote Na heshima zetu uzitunge kote Tupe zema zitu rwabi situate Ilahi karimu takabali dua 14) Na hawa zijana wetu twakwambia Rwabi ni amana tumekuatia Wape kulingana na kuongokea Ilahi karimu takabali dua 15) Kwa wako sayyidi tunatawasali Wako muhammadi swahaba na ali Saada suudi tupe filhali Ilahi karimu takabali dua 16) Zetu ajisadi utuhifadhie Na yetu miradi ututengezee Muovu hasidi asikurubie Ilahi karimu takabali dua 17) Badiru ing'are ya mwezi kamili Tuteze tuture kwa mema mithali Naisitukere hali wala mali Ilahi karimu takabali dua 18) Wewe ni mueza ilahi wayee Rwabi wapee enzi nao watengee Kulala lakuudhi uwaondoshee Ilahi karimu takabali dua 19) Yafute matata nadhiki zapuke Mtu kitukuta tuna taambaki Mitaji tukita yote iitike Ilahi karimu takabali dua 20) Yapoe maradhi haya tulonayo Kula lakuudhi utokoe nayo Yote sibaadhi uyondoshe hayo Ilahi karimu takabali dua 21) Rwabi wanusuru wasiungulike Kula lakudhuri ya rwabi lepuke Wote wape nuru hata watosheke Ilahi karimu takabali dua 22) Na yako salamu ikifuatia Madamu hamamu ametughania Ladha ya ilimu tukiisikia Ilahi karimu takabali dua 23) Rwabi wasamehe walotangulia Uwape na raha waliposhukia Ziwe kula nuru zikiwang'aria Ilahi karimu takabali dua 24) Na sote jumla tulohudhuria Tupe kula mema yakitushukia Tuondoke hapa yote kutimia Ilahi karimu takabali dua 25) Nasi tulingane kwa sote pamoya tuafikiane kwa moyo mmoya matunda tuvune furaha afiya Ilahi karimu takabali dua 26) Sisi twajuhudi tupe taufiki dua twaradidi nasi hatuchoki wewe ni wadudi tupe njema haki Ilahi karimu takabali dua 27) Wanafundi rwabi nao waokoe Kwa masomo yao rwabi watatue Na walimu wao watuze watue Ilahi karimu takabali dua 28) Na hawa walimu tusikizanao Yatoshe yatimu matilaba yao Wewe ni karimu tuza nyoyo zao Ilahi karimu takabali dua 29) Na umswalie wako mukhutari Na ala wangie swahaba wa kheri Utungarishie yake jauhari Ilahi karimu takabali dua

Comments