Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб WAKILI KIBATALA AFUNGUKA SABABU YA 'BONI YAI' KUKOSA DHAMANA MAHAKAMANI/" NI KICHEKESHO" в хорошем качестве

WAKILI KIBATALA AFUNGUKA SABABU YA 'BONI YAI' KUKOSA DHAMANA MAHAKAMANI/" NI KICHEKESHO" 6 часов назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



WAKILI KIBATALA AFUNGUKA SABABU YA 'BONI YAI' KUKOSA DHAMANA MAHAKAMANI/" NI KICHEKESHO"

Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Boniface Jacob ameendelea kusota kwenye Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, mara baada ya kukosa dhamana na kesi hiyo kuahirishwa hadi tarehe 1 Oktoba 2024. Awali kesi hiyo ilikua kwa ajili ya kutolewa uamuzi mdogo kuhusu dhamana, lakini uamuzi huo ulishindwa kutolewa kufuatia upande wa mashtaka kuomba mahakama kuwasilisha kiapo cha ziada katika shauri hilo. Kiapo hiko kilipingwa vikali na wakili Peter Kibatala anayemuwakilisha Boniface katika shauri hilo, kwa kueleza Mahakama kuwa kiapo hiko kimeletwa nje ya muda, kwani shauri hilo lipo hapo mbele kwa ajili ya uamuzi mdogo wa dhamama. Hakimu mkazi Mfawidhi Franco Kiswagwa, mara baada ya kusikiliza pande zote mbili aliahirisha kesi hiyo, hadi Tarehe 1 Oktoba 2024, kwa ajili ya kuja kutoa maamuzi yote mawili. Ikumbukwe Boniface anashtakiwa na makosa mawili Kosa la kwanza linalomkabili Boniface Jacob linahusu kuchapisha taarifa za uongo mnamo tarehe 12 Septemba 2024, ambapo alidai kuwa Mafwele anatuhumiwa na familia nyingi kwa kupotea kwa wanafamilia wa hizo familia. Kosa la pili, ambalo lilitokea tarehe 14 Septemba 2024, linahusiana na kuchapisha taarifa nyingine za uongo zinazosomeka ‘Polisi wanatesa watu na kuua ndio kazi wanaweza’. Boniface amekana mashtaka yote hayo. 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI? 🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402), 🔘WhatsApp (+255 692 318213) 🔘Email: [email protected] 🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: http://mwanahalisionline.com

Comments