Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Mtafuteni Bwana Nanyi Mtaishi | Ibada ya Jumapili | 11 Aug 2024 в хорошем качестве

Mtafuteni Bwana Nanyi Mtaishi | Ibada ya Jumapili | 11 Aug 2024 1 месяц назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Mtafuteni Bwana Nanyi Mtaishi | Ibada ya Jumapili | 11 Aug 2024

IBADA YA JUMAPILI (IBADA YA KWANZA) 11/ 08/ 2024 UJUMBE WA LEO: MTAFUTENI BWANA NANYI MTAISHI Yeremia 29 : 13 - 14 13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. 14 Nami nitaonekana kwenu, asema Bwana, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema Bwana; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka. Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Comments