Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб T.A.G NATIONAL PRAISE TEAM - MISINGI YA IMANI (Official Video) в хорошем качестве

T.A.G NATIONAL PRAISE TEAM - MISINGI YA IMANI (Official Video) 1 год назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



T.A.G NATIONAL PRAISE TEAM - MISINGI YA IMANI (Official Video)

T.A.G NATIONAL PRAISE AND WORSHIP TEAM tunakuletea wimbo wa injili wenye kuleta faraja na kuadhimisha "Misingi Kumi na Sita ya Imani" ya Kanisa la Tanzania Assemblies of God (T.A.G). 🙏🎶 Ucha Mungu utaimarishwa na ujumbe mzuri wa wimbo huu. 🎵✨ Wimbo huu umeandaliwa na Idara ya Muziki na Uimbaji (DEPARTMENT OF MUSIC AND SINGING-DMS) ya Kanisa la TANZANIA ASSEMBLIES OF GOD chini ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara Taifa, Rev. Timothy Mwita ‪@timothymwita1238‬ na kamati yote ya uongozi. Executive Producer: T.A.G DMS (Department of Music and Singing) ‪@tagdms‬ Audio Production: Chosen Records International (Mr. Samuel Mboya) ‪@samuelmboya1011‬ Video Production: T.A.G DMS (Media Team) ‪@tagdms‬ Lyrics: Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. 1. Biblia ni Neno la Mungu. 2. Mungu mmoja tu wa kweli. 3. Yesu ni Mwana wa Mungu. 4. Anguko la mwanadamu. Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. 5. Wokovu wa mwanadamu. 6. Ubatizo wa maji mengi na ushirika. 7. Ujazo wa Roho Mtakatifu. 8. Kunena kwa lugha mpya. Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. 9. Utakaso. 10. Kanisa ni mwili wa Kristo. 11. Makusudi matano ya kanisa. 12. Mungu ndiye mponyaji. Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. 13. Kufufuka na kunyakuliwa. 14. Utawala wa Yesu Kristo kwa miaka elfu. 15. Hukumu kuu ya mwisho. 16. Mbingu mpya na nchi mpya. Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. Iko 16, Misingi ya Imani yetu tunayoisimamia, Iko 16, Misingi ya wokovu wetu, Kamwe hatutaiacha. #DMS #TAG #CBC #Dodoma #Tanzania #misingiYaImani

Comments