Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб KILIMO CHA SWEET MELON MBEGU ZA SWEET MELON CARIBBEAN KING NA GRADIAL KUTOKA RIJK ZWAAN в хорошем качестве

KILIMO CHA SWEET MELON MBEGU ZA SWEET MELON CARIBBEAN KING NA GRADIAL KUTOKA RIJK ZWAAN 2 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



KILIMO CHA SWEET MELON MBEGU ZA SWEET MELON CARIBBEAN KING NA GRADIAL KUTOKA RIJK ZWAAN

KILIMO CHA SWEET MEON NI KAMA MADINI(TIKITI TAMU) Mbegu za tikiti tamu au sweet melon zinapatikana kutoka rijk zwaan Tanzania aina za mbegu ni caribbeana king na gradial rz f1. #mkulimasmart #shambadarasa Sweet melon Caribbean King-RZ F1 Sweet mellon aina ya Gladial RZ F1 ni tunda kenye ladha nzuri na tamu kwa mlaji na pia ni tunda lenye soko kubwa sana kwenye mahoteli na masoko ya kawaida Tikiti maji(Water Melon) na Tikiti Tamu(sweet Melon).Asili yake ni Africa na kwa sasa zao hili lina limwa sana Africa magharibi na mashariki,India,Indonesia na visiwa vya caribean. Mkulima wa sweet melon ni mkulima anayetumia akili nyingi kulea miche ya matunda haya,kilimo hiki kipo Uganda,Kenya,Afrika Kusini,na Tanzania baadhi ya mikoa kama Kilimanjaro,Arusha,Mara, na Baadhi ya maeneo Dar es salaam,matunda haya ni tofauti na Matikiti ya kawaida,na yako aina nyingi kama Melon Ananas,Yana,Honey Dews,n.k matunda haya hutibu magonjwa mengi na kukinga maradhi mbalimbali,ni moja ya matunda yanayopendwa sana na wadudu,na wanyama maana majani yake yana sukari,kwa kawaida huzaa matunda zaidi ya alobaini,ambapo huanza kuzaa yakiwa na siku 45 hadi 50 na hutoa matunda yaliyokomaa zaidi wa matatu kwa kila mchumo mmoja,pamoja na kuwa matunda yenyewe ni Bei gali,hata utunzaji wake unahitaji Garama,ambapo heka inaweza kugaramiwa kwa milioni moja na nusu kwa kuhudumia shamba lenye matunda aina ya Honey Dews ambayo yanasoko kubwa na yanaweza kukaa hadi mwaka mzima yakisubiri soko,Tunda moja huuzwa elfu 6-10 heka inaweza kuuzwa kuanzia Milioni 12 hadi 17.5 Mengine kama Ananas hugarimu laki 5 hadi 7.5 yana kubali udongo wa tofauti na matikiti,yana namna ya kupandwa na madawa yake huwa na namna ya kupiga na kuweka ardhini,kitu ambacho huwashinda wengi hatimae kuyapuuza,matunda haya yanauzwa mahotelini na masoko ya kitalii,hayapatikani magengeni maana watu wa maisha ya kawaida hawayajui

Comments