Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб Abdiwahan Sheikh Abdisamad bado hajulikani aliko hadi kufikia sasa в хорошем качестве

Abdiwahan Sheikh Abdisamad bado hajulikani aliko hadi kufikia sasa 3 года назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



Abdiwahan Sheikh Abdisamad bado hajulikani aliko hadi kufikia sasa

Viongozi wa kisiasa na wa kidini kutoka maeneo ya Kaskazini Mashariki na Mombasa wametaka idara za usalama kumsalimisha msomi Abdiwahab Sheikh Abdisamad aliyeripotiwa kutekwa nyara na watu wanne katikati mwa jiji la Nairobi. Viongozi hao wakiwemo wabunge na maseneta wamekashifu namna msomi huyo alivyotekwa nyara wakilaumu vikosi vya usalama kwa kukosa kuwahakikishia wakenya usalama wao wakidai kuwa visa hivi vimeendelea bila ya majibu yoyote kutoka kwa maafisa husika. Sasa wanatishia kuandamana na kwamba iwapo hawatawajibika basi hawana budi kujiuzulu. Mkuu wa idara ya upelelezi wa Jinai George Kinoti alianzisha uchunguzi kuhusiana na kupotea kwa Sheikh Abdisamad siku ya Ijumaa.

Comments