Русские видео

Сейчас в тренде

Иностранные видео


Скачать с ютуб ANIPHA KIJORA- SIMULIZI YA KUSISIMUA в хорошем качестве

ANIPHA KIJORA- SIMULIZI YA KUSISIMUA 8 месяцев назад


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса savevideohd.ru



ANIPHA KIJORA- SIMULIZI YA KUSISIMUA

Anipha anaishi na babaake na dadaake tu, mama yao aliitelekeza familia baada ya kuona Baba Anipha hana pesa, Anipha anajishughulisa na biashara ya uuzaji wa nguo (Vijora). Alibahatika kuingia kwenye mahusiano na mwanaume aitwae Allen na wakaoana na kubarikiwa mtoto mmoja, lakini kwabahati mbaya Anipha alimfumania Allen akiwa anashiriki tendo na mamaake mzazi, Je! Ilikuaje???? ungana nami LUCAS LUMBASI mwanzo mpaka mwisho KAMA UMEPENDA SIMULIZI ZANGU LIKE, SHARE, COMMENT, SUBSCRIBE NA USISAHAU KUBONYEZA ALAMA YA KENGERE ILI USIPITWE NA SIMULIZI MPYA Pia Tembelea kurasa zangu za mitandao ya kijamii INSTAGRAM:   / lucaslumbasi_tz   FACEBOOK:   / mrlumbasi   TIKTOK:   / lucaslumbasi  

Comments